1. |
Mimi
01:53
|
|||
Original
Mimi na piga asanti sana
Kwakunipa njiya iyi baba
eh we Mungu wangu
Ukuyenami kwakama iyi ni mwanzo eh
Gidari iyi njo maisha yangu
Mungu ashikunipekyo bule
Njo kile ntaimbo mpaka mwishoamiasha iyi yangu eh
Kumbi wewe unisikiye mimi wewe
Fwata kile roho ina penda
Kwanikile mungu alikupa
Kitafanya ufurai ufurai ufurai
Na mungu baba naye atapenda
Twimbe
Lalala tala tala talala...
|
||||
2. |
Mwendo
04:58
|
|||
Original:
Mwendo
Mwendo ni polepole
Rien n’est impossible
Dans la vie
Toute chose imaginable
Peut ce faire
Seule rapelle toi
Mwendo
Mwendo ni pole pole
Les gens peuvent te decourager
Que tu ne sorras pas
Ils peuvent te dire des mensonges
Pour tuer ton espoire
Mai moi te dis
Toutes chose peut ce faire
Tien ta foix Oh....
Mwendo
Mwendo ni pole pole
Doucement Doucement on y arrivera.
|
||||
3. |
C'est la vie
04:42
|
|||
Original:
Lala mutoto wa mama ujuwi kamaduniya
Ikona uzuri wake sasa tena na bubaya
Muntu ata sema ana kupenda
Kesho yake ana ku uwa
Mwingine uta chukiya kumbi njo ata ku sauver
C’est la vie
Kumbi kesho ya ukilamuke wewe ufanye ivi
Piga aksnti kwa mungu baba wetu wabinguni
Umuonwshe akuchunge
Iwe usiku na mapema eh na nzambi usfanye
Ukifanye uwombe huruma Wewe eh…
C'est la vie
|
||||
4. |
Wewe
04:59
|
|||
Original:
Mimi niko mpenzi wako
Nawe yuko mpezi wangu
Mikononi Tutafika mwinsho ya duniya eh
Wewe ni muke wangu ulenapenda
Akuna ata kitu moja kitageuza
Iyi mapendo yangu nimpaka mwinsho
Kuja apa wikale nami wempenzi wangu we
Ikala chiniwe nikwambiye
Kile nawaziya minawe
Girl you know there's something about you I wanna confess
I don't really know this love just how to express it, you know
Just when I wanna say a word my whole mouth runs dry
This is so bigger than my heart my heart
My heart
Njuu yako tasimamisha Juwa mwaka mujima
Njuyako tatembeya duniya kuchoka apana
Mita imba paka Juwa na mwaenzi bifanye kimoja
Mpaka wewe ukaseme eeh
Unani penda
Kumbi siko ya kesho tanya ivi
Taenda kwa wazazi wako ni wambiye
Kama mimi nataka kuowa wewe
Usi katale
|
||||
5. |
Mwafwako
07:20
|
|||
Original:
Mimi ni mutoto ya papa Jean-Bosco
Na Mama yangu mimi ni Ndaya therese
Tuli zalikwa sisi batoto kenda
Nawa shukuru wazazi kwa kutuchunga
Nilikomeleya Cite manika
Pale pa kolwezi
Province Katanga
Masomo yangu ndi funza ku tusaidiyane
Baba yangu njo arikuya pale directeur
Kisha nilienda collège Don bosco
Pale shikukawiye kushikiya pononayi Muntu ulikuya naye sasa ndugu eh Anakuya namupanga asema bilulu kwabo
Njo shiye mateso yakwenda kukasai Kwalakini iyi mwaka tuliteswa
Yoteile shetani alifanya
Kweli ayikubambe kwa watu wengi
Wengi walifika kasai tu wajima
Wengi walifika kubamba mali sana
Mambo yakusema bena Katanga inaisha
Ndugu yangu usi fatilie ba politicien
Nasisi batoto ya papa Jean-bosco
Tuna chungwa njema
Na kwendeleya
Muswamba ana komesha batoto yake Stannis kanda ana chunga paroise yake Jean-bosco na da martin banakomesha Evariste na priscilla bana komesha James dineka na tebogo banakomesha
Ntumba na buzuri bwake Anakomesha
Kabangu nama kazi yake anakomesha
Mimi apa ngoma yangu njoo kazi
Wakuni fwatiya Sylvain wetu chikuya
Eyiii wafwako tatu nzambi wafwako eyiii
Eyii mwafwako bazazi yangu mwafwako eyiih
Eyiih wafwako tatu nzambi wafwako wyii Eyiih…
Bwajinanga jebe oh ….
Bwakutulama tetu bana bebe
Mumakenga ne munsaka
Tatu nzambi wa mujulu
Pabuloba bwebe
Eyii wafwako tatu tatu Tshilombo wafwako eyiih
Eyii wafwako tatu Mamu ndaya
Eyii wafwako tatu Monique Muswamba
Eyii wafwako tatu Stannis Kanda
Eyii wafwako tatu Jean-Bosco Chilombo
Eyii wafwako tatu Evaristo Lumingu
Eyii wafwako tatu Jean-Jacques Dineka
Eyii wafwako tatu Ntumba Mbuyi
Eyii wafwako tatu Pichou Kabangu
Eyii wafwako tatu Sylvain wetu
Eyii mwafwako famille tshilombo mwafwako eyi
Arishi teka Shiku iyi moja
Kulikuya kijana moja alipenda kuya mwalimu
Kutoka kasai anenda Katanga
Kule alifika anekala na mama wake
Ata mungu asikumubarikiye na mali
Alimupa watoto wale alichunga vema
Leo wana juwisha njina yake muduniya
Eyiih wafwako tatu Zambi wafwako eyiih…
|
||||
6. |
Wekapa
06:26
|
|||
Original:
Wewe ndugu kuja
Vunja kivuno yako cheza
Mabo ya duniya ayishake vunja kivuno cheza
Wekapa
Wewe baba
Wewe mama
Vunja kivuno
You've got to love me
Says the music
You've got to feel me
Cause I'm ecstatic
I'll keep your feet
Off the ground
And spin your head
All around yeah
Wekapa
Wewe baba
Wewe mama
Tubisabu
Bimambo byote
Mungu anatupa leo tufurayi
|
||||
7. |
Baby Please
03:40
|
|||
Original:
Baby please understand
That without you
My whole world is gonna just break right down
Be without my happiness with you
Girl I know for so long I’ve treated you wrong oh my
But you’ve got to hear me I’ll make it right
Hear my plight cause my heart belongs to you
All you are to me
Is the best a girl can be life without you
Is darker than night
Baby can’t you see
What you mean to me I promise you
I’ll be all you’ll ever live for
Machozi machoni mwangu
Silly is what I have been
To first show my ego instead of me showing you
Just how I feel and the shape of my heart
Cause I know every day just feels right
Everyday is filled with light by the thought of you
I’ll love you forever
Tears in my eyes
Forgive me lady
I’ll love you forever more
Forgive
I’ll be all you ever lived for
|
||||
8. |
Kazi
04:57
|
|||
Original:
Yote mungu ana tupa,
ni ile inatoka Mukazi yetu, tumika ndugu
Ukilime leo, pata pita siku pakusema
Uone matunda yako wewe
Sasa nju yanini
Utataka kwacha masomo we wanze Mambo mubaya kuyiba, ma drogue
Ma fraude, ndugu ile siyo maisha eh !
Kazi, tumika Kazi
Mungu alisema tumika na utabarikiwa eh Kazi, tumika kazi
Acha bubaya utaona matunda eh
Kazi, tumika kazi
tumika, wewe tumika ndugu utapata eshima eh, kazi, tumika kazi
Ata ukuje Sud apa, wende na Europe America na Asie, fazi yote ujuwe kama ni kazi eh
Ushiwazi kama mubulaya
Utafika unanza kulokota makuta mubalabala eh
Waza buzuri ya bulaya ni kazi eh
Salongo eh
Salongo tolinga mosala
Njokile na sema, wendugu
kwabenda nkulu kwamuchi
unajuwa njokile na sema
Wendugu, kwabenda nkulu kwamuchi Unajuwa, sikiya wikale kwabenyewe
Sasa ukumbuke kwenu urime ata
Nikuyenga ata nini kumbuka kwenu
Ujuwe kama siku nimoja eheh
|
||||
9. |
Welcome
06:18
|
|||
Original:
Ah mwe
Nju ya nini mutafanya vile
Munatoka kumukini yenu muna enda fazi ingine a l'etranager
Kile akina kibaya lakini usifike kule usabwe kwenu we
Kumbuka vile tonacheza kwetu
Kumbuka vile tuna furayi kwetu we
Na roho moja malgre mateso ile tokona vivre we
Kumbuka…
Weka muziki
Sukuma
Kwetu tuna kyote muntu ata taka
Kwetu tuna kile uta tafuta
Atakuje nvita na byote siku moja itakuja yetu
Congo waba lengela eyowa
Congo mokili kitoko eyowa
Kama wiko na fieri yakwetu wewe
Tosha jasu vunja kivuno lamusha nvumbi dugu yangu eh
Mimi na ita ndugu yangu wote
Congolais wote duniyani
Kuja tuvunje kivuno kwa muchezo ya kwetu tuna fieri nayo
Congo waba lengela eyowa
Congo mokili kitoko eyowa
Kongo duniya yote inajuwa
Siye tuko watu wana penda kazi namuchezo
Welcome to the Kongo
|
||||
10. |
Sema
06:00
|
|||
Original:
Sema kama auni pende
Sema kama sikufuraishe
Sema kama siwezi kuyawako
Nju roho yangu
Inateswa sana
Kukuongoleya
Kukuongoleya
Unisikilize
Mina kuomba wewe
Kwani Unioneshe
Njiya yakufika
Moyonini mwako
Uwe wangu wamilele
Wewe niuzi mawangu
Wewe ni baraka yangu
Wewe ni mapendo yangu
Nju roho yangu ina teswa sana
Kukuongoleya
Kukuongoleaya
Usiniache iviwe
Unioneshe mimi we
Kwani roho yangu inateswa sana
Kukuongoleya
Kukuongoleya
|
||||
11. |
If you've never
06:50
|
|||
Original:
Ndugu yangu unyambiye weye
Fazi gani muduniya wana pika muziki sa shiye
Dada yangu uni oneshe wana wake fazigani wana vunji kivuno sa weye
Sasa nju ya nini utakatala kupenda mukini yetu iyi mama ikobutamu
Ata mambo ikujengu je we ndugu yangu ishisabwe Africa yako
Afrikca njo mama
Uyu udongo wetu wiko muzuri sana toka Cape fika Cairo
Ndani ni mali na mali wote wanajuwa
Nikione bilima namitoni kuona banyama ninapenda tubichunge muzuri na siye twachiye batoto
Africa njo mama
Mimi naita ndugu yangu yote yulu na chini kujeni tugeuze mambo
We wamukanda weye wa mashamba, we wakazi ya byuma
Kujeni tweke akili fazi moja tugeuze mukini
Ataa muchoke mimbo ya Africa mimi ta imba
Kufika siku tuta ungana mimi taimba
Jina langu ni mapumba, muta nikumbuka, siku tuta ungana
Afrika moja kile njole nawe unataka tuu
Tout le monde a son don, découvrir yako uyijuwe muzuri dani na inje
Yulu na chini kesho uta sema jno kazi yako jno kazi yako
Miye lwangu apa chena ndekela weh musiki
Yekeleyekele oh
Munaga Afrika wanyi munanga
Afrika wanyi weh
shabana wanyi eh afrika wanyi eh
mama mama wanyi
yekeleyekele yoh yoh Afrika wanyi yeh
Nansha bamba bamba chena ndekela
Bamanya bamanya duniya yote bajuwe mzuri
Nofa dem try fi understand How com di African sound never die
How dhi African sound always live and the babies them born
with them wine in them body
Dhem wine and everywhere body them can’t beat the Africa wine baby
It’s so sexy so crazy so nice eh
|
Mapumba Cape Town, South Africa
Inspirations from different feelings, genres, cultures and eras. Rooted in African music.
@mapumbamusic
@zanembizo
@chris_baks
@courtneyhalogia
@dassinjoemakomb
@lindiwebunganex
Streaming and Download help
If you like Mapumba, you may also like:
Bandcamp Daily your guide to the world of Bandcamp